Kwa lengo la kuendelea kuhifadhi mazingira, wanachama maalumu wa TACHA wameamua kwa dhati kulifanya ziwa Maliwe kuwa sehemu nzuri ya kivutio Ni pamoja na kuhifadhi wanyama walio karibu na ziwa hilo na walio ndani Viboko na mamba Mwenyekiti wa Tacha na Makamu wakiongea na viongozi wa NGEA, KIPINDIMBI na MITOLE kuhusu uhifadhi wa ziwa Maliwe